Paulo Godfrey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paulo Godfrey
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 2000
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Beki wa kulia
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Paulo Godfrey (alizaliwa 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania ambaye anachezea klabu ya soka ya Tanzania Young Africans S.C (2018 - 2023) kama beki wa kulia .[1]

Pia ameshiriki katika mechi mbalimbali za kimataifa katika Timu ya Taifa ya Tanzania mnamo mwaka 2019 ikiwa ni pamoja na mechi dhidi ya Timu ya Taifa ya Kenya katika michuano ya kimataifa ya Afrika.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Paulo Godfrey (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paulo Godfrey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.