Paulo Ferreira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paulo Ferreira

Paulo Ferreira (alizaliwa 18 Januari 1979) ni mchezajimstaafu wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Chelsea anayecheza nafasi ya beki wa kushoto.

Aliichezea Chelsea kuanzia mwaka 2004 hadi 2013.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paulo Ferreira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.