Nenda kwa yaliyomo

Paulino Fernandes Madeca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paulino Fernandes Madeca (28 Novemba 1927 huko Chingolo, Cabinda, Angola9 Januari 2008 huko Luanda, Angola) alikuwa Askofu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Cabinda.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.