Nenda kwa yaliyomo

Paulino Alcántara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paulino Alcántara Riestrá (amezaliwa 7 Oktoba, 1896 – amefariki 13 Februari, 1964) alikuwa mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu na kocha mwenye asili ya Hispania na Ufilipino aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji.[1]

Alizaliwa nchini Ufilipino, na alichezea Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Catalonia, Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ufilipino na timu ya taifa ya Uhispania.[2][3]

Alcántara alicheza mechi yake ya kwanza kwa klabu ya FC Barcelona akiwa na umri wa miaka 15, na hadi leo anabaki kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kucheza au kufunga bao kwa klabu hiyo. Alifunga jumla ya mabao 395.

  1. "FC Barcelona - Paulino Alcántara". www.fcbarcelona.com. 2025.
  2. "Players Appearing for Two or More Countries". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Agosti 2008. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "FC Barcelona: Paulino Alcántara Player Biography". Iliwekwa mnamo 2024-02-05.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paulino Alcántara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.