Pauline Kamusewu
Mandhari
| Pauline Kamusewu | |
|---|---|
| | |
| Alizaliwa | 3/11/1982 |
| Nchi | Zimbabwe |
| Kazi yake | Mwaimbji na mtunzi wa nyimbo |
Pauline Kamusewu, anayejulikana pia kwa jina la Pauline, alizaliwa 3 Novemba 1982. Ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa soul kutoka Sweden, mwenye asili ya Zimbabwe na Italia. Alizaliwa Zimbabwe kwa baba mItalia na mama mzimbabwe, na alihamia Sweden akiwa na umri wa miaka mitatu.[1]
Mwaka 2003, alishinda tuzo ya Rockbjörnen kama Mwimbaji Bora Mpya wa Sweden. Mwaka 2010, alishiriki katika duru ya pili ya mashindano ya Melodifestivalen huko Sandviken akiwa na wimbo Sucker for Love, lakini alifutwa katika mashindano ya duels na kundi la Crucified Barbara.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Franzén, Mattias (23 Desemba 2010). "Pauline skissar ned en ny låt på fem sekunder". STIM (kwa Swedish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Desemba 2015. Iliwekwa mnamo 10 Desemba 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Söderlundh, Helena (17 Aprili 2009). "Pauline har tröttnat på att vänta". Smålandsposten (kwa Swedish). Iliwekwa mnamo 3 Juni 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pauline Kamusewu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |