Pauline Bremer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pauline Bremer 2019

Pauline Marie Bremer (alizaliwa 10 Aprili 1996) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya VFl Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pauline Bremer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.