Paulin Kouabénan N'Gnamé
Mandhari
Paulin Kouabénan N'Gnamé (12 Mei 1962 – 21 Machi 2008) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki la Côte d'Ivoire.
Alitunukiwa daraja ya upadre mnamo mwaka 1989. N'Gnamé aliteuliwa kuwa askofu wa Jimbo la San Pedro-en-Côte d'Ivoire mwaka 2007, na alikufa mwaka 2008 akiwa bado kazini.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Paulin Kouabénan N`Gnamé [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2020-05-13.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |