Nenda kwa yaliyomo

Paula (filamu ya 1952)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paula (iliyotolewa tena kama The Silent Voice) ni filamu ya mwaka 1952 ya Marekani iliyoongozwa na Rudolph Maté, na wahusika wakuu Loretta Young, Kent Smith, na Alexander Knox. [1] Ilitolewa na kusambazwa na Columbia Pictures.

  1. Dick p. 166
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paula (filamu ya 1952) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.