Nenda kwa yaliyomo

Paul d'Albert, Cardinal de Luynes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul d'Albert (5 Januari 170321 Januari 1788) alikuwa kardinalii wa Kanisa Katoliki wa Ufaransa.

Alichaguliwa kuwa mshiriki wa Académie française mwaka 1743, akishika nafasi ya saba kwenye kiti namba 29.[1]

  1. Mullett, Michael (2002). The Catholic Reformation (kwa Kiingereza). Routledge. uk. 162. ISBN 978-1-134-65852-7. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.