Paul Zindel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:PaulZindel.gif
Paul Zindel

Paul Zindel (15 Mei 193627 Machi 2003) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1971, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Effect of Gamma Rays on Man-in-the-Moon Marigolds.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Zindel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.