Paul Tịnh Nguyễn Bình Tĩnh
Mandhari
Paul Tịnh Nguyễn Bình Tĩnh (30 Juni 1930 – 21 Novemba 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Vietnam.
Alipadrishwa mwaka 1960, kisha aliteuliwa kuwa askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Đà Nẵng, Vietnam, akapewa daraja ya uaskofu tarehe 30 Juni 2000. Alirithi nafasi hiyo mnamo 6 Novemba 2000 na kustaafu tarehe 13 Mei 2006. Alifariki dunia tarehe 21 Novemba 2023 akiwa na umri wa miaka 93.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |