Nenda kwa yaliyomo

Paulo II Petro Meouchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Paul Peter Meouchi)

Moran Mor Paulo II Petro Meouchi (au Boulos Boutros el-Meouchi, Meoushi, kwa Kiarabu: بولس الثاني بطرس المعوشي; 1 Aprili 1894, Jezzine, Lebanon – 11 Januari 1975, Bkerké, Lebanon) alikuwa Patriarki wa 74 wa Kanisa la Wamaroni wa Antiochia kuanzia mwaka 1955 hadi kifo chake mwaka 1975. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1965.[1]

  1. Baroudi, Sami E. (2006). "Divergent Perspectives among Lebanon's Maronites during the 1958 Crisis". Critique: Critical Middle Eastern Studies. 15 (1): 6–7, 14. doi:10.1080/10669920500515093. S2CID 144148781.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.