Nenda kwa yaliyomo

Paul Peschisolido

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peschisolido mwaka 2011

Paolo Pasquale Peschisolido (aliyezaliwa Mei 25, 1971), maarufu kama Paul Peschisolido, ni mchezaji wa zamani na kocha wa mpira wa miguu kutoka Kanada. Peschisolido alikuwa kocha wa klabu ya Burton Albion F.C. inayoshiriki Ligi ya pili ya mpira wa miguu ya Uingereza kuanzia Mei 2009 hadi Machi 2012.[1][2]



  1. "Profile: Paul Peschisolido". Canadian Soccer Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-19. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Canadian Men's World Cup Team Goalscoring Leaders" (PDF). Canadian Men's World Cup Team Media Notes. Canadian Soccer Association. 22 Januari 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Juni 2006.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Peschisolido kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.