Paul Parker (mwanasoka)
Mandhari
Paul Andrew Parker (alizaliwa 4 Aprili 1964) ni mwanasoka wa zamani wa Uingereza na meneja wa mpira wa miguu.
Anajulikana sana katika ligi kuu ya Uingereza kwa sababu ya kucheza katika klabu ya Manchester United F.C. na pia alicheza katika klabu za Queens Park Rangers, Fulham, Derby County, Sheffield United, Chelsea F.C. na Farnborough Town.
Alikuwa mchezaji muhimu sana wa Uingereza katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1990, pia alishawahi kupata makombe 19.
Amekuwa meneja wa Chelmsford City na Welling United kuanzia mwaka 2001 mpaka 2005.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Parker (mwanasoka) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |