Nenda kwa yaliyomo

Paul Melchers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Melchers

Paul Melchers (6 Januari 181314 Desemba 1895) alikuwa Kardinali na Askofu Mkuu wa Köln.

Wakati wa kilele cha mgogoro wa Kulturkampf, alikimbilia Uholanzi kutafuta hifadhi.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.