Paul Lokiru Kalanda
Mandhari
Paul Lokiru Kalanda (27 Februari 1927 – 19 Agosti 2015) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki ambaye alihudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Moroto kutoka mwaka 1980 hadi 1991 na kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Fort Portal kuanzia mwaka 1991 hadi 2003.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David M. Cheney (26 Mei 2019). "Bishop Paul Lokiru Kalanda". Kansas City: Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Catholic Diocese of Fort Portal (2010). "Roman Catholic Diocese of Fort Portal: Bishops' Profile". Fort Portal: Roman Catholic Diocese of Fort Portal. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |