Nenda kwa yaliyomo

Paul Khoarai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul Khoarai (29 Mei 193327 Desemba 2012) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika Jimbo Katoliki la Leribe, Lesotho.

Alipadrishwa mwaka 1963, akateuliwa kuwa askofu mwaka 1970, na alistaafu mwaka 2009.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.