Paul Kamuza Bakyenga
Mandhari
Paul Kamuza Bakyenga (30 Juni 1944 – 18 Julai 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Uganda, ambaye alikuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mbarara kuanzia tarehe 2 Januari 1999.
Papa Fransisko alikubali kujiuzulu kwake tarehe 25 Aprili 2020 na kumteua Askofu Msaidizi Lambert Bainomugisha kuwa Askofu Mkuu wa Mbarara, Uganda.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David M. Cheney (2019). "MicroData Summary for Paul Kamuza Bakyenga". Kansas City: Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Paul Kamuza Bakyenga's resign was accepted by Pope Francis".
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |