Paul Boedhie Kleden
Mandhari
Paul Boedhie Kleden SVD (alizaliwa 16 Novemba 1965) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Indonesia, akihudumu kama Askofu Mkuu wa Ende tangu mwaka 2024.
Ni mwanachama wa Shirika la Neno la Mungu (Society of the Divine Word - SVD) na alihudumu kama mkuu wa shirika hilo kuanzia mwaka 2018 hadi alipopata uteuzi wa kuwa Askofu Mkuu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |