Paul Aijirō Yamaguchi
Mandhari
Paul Aijirō Yamaguchi (山口愛次郎, Yamaguchi Aijirō, 14 Julai 1894 – 24 Septemba 1976) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Japani.
Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nagasaki kutoka mwaka 1937 hadi 1968.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |