Nenda kwa yaliyomo

Paul Abels

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul Milford Abels (19371992) alikuwa Mmethodisti ambaye alikuwa mchungaji wa kwanza hadharani kuwa na mwelekeo wa jinsia moja akiwa na kanisa ndani ya dini kubwa ya Kikristo nchini Marekani. Alihudumu kama mchungaji wa kanisa la Washington Square Methodist Episcopal Church katika eneo la Greenwich Village mjini New York kati ya mwaka 1973 hadi 1984.[1]

  1. "Rev. Paul Abels". LGBT Religious Archives Network. Iliwekwa mnamo Juni 25, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.