Paul Émile Joseph Bertrand
Mandhari
Paul Émile Joseph Bertrand (11 Julai 1925 – 27 Julai 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa.
Bertrand alizaliwa nchini Ufaransa na aliteuliwa kuwa kuhani mwaka 1948. Alihudumu kama askofu wa jimbojina la Tagaria na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Lyon, Ufaransa, kuanzia mwaka 1975 hadi 1989, na kama askofu wa Jimbo Katoliki la Mende kuanzia mwaka 1989 hadi alipojiondoa mwaka 2001.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Paul Émile Joseph Bertrand †". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |