Paul-Siméon Ahouanan Djro
Mandhari
Paul-Siméon Ahouanan Djro, O.F.M. (19 Desemba 1952 – 12 Februari 2024) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ivory Coast. Alikuwa askofu wa Yamoussoukro kuanzia 1996 hadi 2006 na askofu mkuu wa Bouaké kuanzia 2006 hadi kifo chake.
Ahouanan Djro alifariki dunia tarehe 12 Februari 2024, akiwa na umri wa miaka 71.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archbishop Paul-Siméon Ahouanan Djro, O.F.M. †". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |