Pau Cubarsí
Mandhari
Pau Cubarsí Paredes (amezaliwa 22 Januari, 2007) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania anayechukua nafasi ya beki wa kati katika klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Timu ya taifa ya Hispania.
Mnamo Julai 2025, jarida la Sports Illustrated na ESPN zilimkadiria Cubarsí kama beki wa kati wa sita bora zaidi duniani katika soka.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The 25 Best Centre Backs in World Soccer—Ranked". Sports Illustrated. 9 Julai 2025. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2025 FC 100: Van Dijk among best center backs in men's soccer". ESPN. 4 Juni 2025. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pau Cubarsí kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |