Patrick O'Regan (askofu)
Mandhari
Patrick Michael O'Regan (alizaliwa 8 Oktoba 1958) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki. Amekuwa Askofu Mkuu wa Adelaide tangu 25 Mei 2020. Kabla ya hapo, alikuwa Askofu wa Sale tangu 2015..[1][2]
O'Regan alichaguliwa kuwa Askofu wa tisa wa Sale mwaka 2014 na alitawazwa na kusimikwa kama askofu na Askofu Mkuu wa Melbourne, Denis Hart, mnamo 26 Februari 2015 katika sherehe iliyofanyika Sale. Tarehe 19 Machi 2020, Papa Francis alitangaza kwamba Askofu O'Regan atakuwa Askofu Mkuu wa 12 wa Adelaide.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Patrick Michael O'Regan". Catholic Hierarchy. 18 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ordination of Bishop Patrick O'Regan". Catholic Education Office. Roman Catholic Diocese of Sale. 26 Februari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-12. Iliwekwa mnamo 13 Aprili 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |