Nenda kwa yaliyomo

Patrick Bascio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Patrick Bascio (1927 – 30 Mei 2010) alikuwa mwandishi na padre wa Kanisa Katoliki.

Alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Salve Regina kilichopo Rhode Island.[1]

  1. ↑ "Bascio, Patrick, 1927-..." viaf.org. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.