Patience Peterson-Kundok
Mandhari
Patience Peterson-Kundok (alizaliwa 29 Septemba 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kitaalamu kutoka nchini Ghana anayekipiga kama kiungo wa kati katika klabu ya mpira ya Trabzonspor inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uturuki.
Amewahi kuwa mchezaji wa timu ya taifa za Ghana chini ya umri wa miaka 17 na 20, na alipata mwaliko wa kujiunga na timu ya taifa ya wanawake ya wakubwa mwaka 2023. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Oyuncular – Futbolcular: Patience Peterson-Kundok" (kwa Kituruki). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Patience Peterson-Kundok kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |