Patholojia
Mandhari
Patholojia (kutoka neno la Kiingereza lenye asili ya Kigiriki) ni taaluma inayojikita katika masuala ya uchunguzi wa ugonjwa.[1] Neno patholojia pia hurejelea uchunguzi wa magonjwa kwa ujumla, unaojumuisha nyanja mbalimbali za utafiti wa kibiolojia na masuala mazima ya matibabu.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Utafiti wa ugonjwa, ukiwa ni pamoja na uchunguzi wa kina wa mwili, dissection na uchunguzi wa magonjwa maalum, ulianza zamani. Uelewa wa kimazoea wa hali nyingi ulikuwepo katika jamii nyingi za awali na unathibitishwa katika rekodi za jamii za awali za kihistoria, zikiwemo zile za Mashariki ya Kati, India, na Uchina.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Patholojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |