Pat Hutchins
Mandhari
Patricia Evelyn Hutchins (Alizaliwa 18 Juni 1942 -Alifariki 8 Novemba 2017) alikuwa mchoraji wa Uingereza, mwandishi wa vitabu vya watoto, na mtangazaji. Alishinda Medali ya Kate Greenaway ya mwaka 1974 kutoka Chama cha Maktaba kwa kitabu chake The Wind Blew.[1] Kwenye skrini, alijulikana zaidi kama Loopy-Lobes mmiliki wa pili wa "mashua ya Ragdoll" katika mfululizo wa muda mrefu wa watoto Rosie and Jim.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Boston Globe–Horn Book Awards Winners and Honor Books 1967 to present". The Horn Book. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Desemba 2012. Iliwekwa mnamo 2012-11-27.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)