Pape Matar Sarr
Mandhari
Pape Matar Sarr (alizaliwa 14 Septemba 2002) ni mwanakandanda wa kulipwa raia na mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal akicheza nafasi ya kiungo katika timu ya Tottenham Hotspur F.C. inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pape Matar Sarr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |