Pape Gueye
Mandhari
Pape Alassane Gueye (alizaliwa 24 Januari, 1999) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya kiungo cha kati wa ulinzi kwa klabu ya Villarreal CF nchini Uhispania. Alizaliwa Ufaransa, lakini anawakilisha timu ya taifa ya Senegal.
Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Le Havre
[hariri | hariri chanzo]Gueye alicheza mchezo wake wa kwanza wa kitaalamu kwa Le Havre AC katika sare ya 0–0 dhidi ya [[Chamois Niortais F.C. mnamo 5 Mei, 2017.[1] Alisaini mkataba wake wa kwanza wa kitaalamu mnamo 20 Juni, 2017.[2]
Villarreal
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 5 Julai 2024, Gueye aliungana na klabu ya La Liga ya Villarreal CF kwa uhamiaji wa bure na mkataba wa miaka minne.[3]
Kazi ya Kimataifa
[hariri | hariri chanzo]
Gueye alizaliwa Ufaransa na ana uraia wa Senegal kupitia wazazi wake.[4][5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "LFP.fr - Ligue de Football Professionnel - Domino's Ligue 2 - Saison 2016/2017 - 36ème journée - Havre AC / Chamois Niortais". www.lfp.fr.
- ↑ "Le Havre : premier contrat pro pour Pape Gueye - MaLigue2". 20 Juni 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-12-04. Iliwekwa mnamo 2026-02-11.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "¡Pape Gueye ya es groguet!" [Pape Gueye is a Yellow!]. villarrealcf.es (kwa Spanish). 5 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Le Havre Pape Gueye sign son premier contrat professionnel - Dakar Actu". 20 Juni 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Match Report of Senegal vs Congo - 2021-11-14 - WC Qualification". Global Sports Archive. 14 Novemba 2021. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pape Gueye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |