Nenda kwa yaliyomo

Pape Demba Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pape Demba Diop (alizaliwa tarehe 4 Septemba, 2003) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Senegal anayekipiga katika nafasi ya kiungo katika klabu ya Ufaransa ya Toulouse FC, akiwa kwa mkopo kutoka RC Strasbourg Alsace.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Diop alisaini kuichezea klabu ya Ubelgiji ya Zulte Waregem mnamo Septemba 2022, lakini ilimbidi asubiri hadi Oktoba mwaka huo huo kabla ya kuanza kufanya mazoezi na timu yake mpya kutokana na matatizo ya kibali cha kazi.[1][2][3]

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Diop aliitwa kujiunga na timu ya taifa ya Senegal ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa ajili ya Africa U-20 Cup of Nations ya mwaka 2023.

  1. ↑ "Offor en Diop zijn de nieuwste aanwinsten bij Essevee" [Offor and Diop are the newest additions to Essevee]. essevee.be (kwa Dutch). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-10-02. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. ↑ "Jupiler Pro League - Le Standard attire Philip Zinckernagel, Offord et Pape Demba Diop à Zulte Waregem" [Jupiler Pro League - Standard lures Philip Zinckernagel, Offord and Pape Demba Diop to Zulte Waregem]. dhnet.be (kwa French). 6 Septemba 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-12-24. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. ↑ "Pape Diop kan meetrainen bij Essevee na visumproblemen" [Pape Diop can train with Essevee after visa problems]. kw.be (kwa Dutch). 26 Oktoba 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-24. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) subscription required
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pape Demba Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.