Nenda kwa yaliyomo

Papa Tawadros II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Tawadros II.

Papa Tawadros II (Papa Abba Theódōros II; البابا تواضروس الثانى: alizaliwa Damanhur, 4 Novemba 1952) ni Patriarki wa 118 wa Aleksandria katika Kanisa la Kiorthodoksi la Kikopti tangu tarehe 18 Novemba 2012 (9 Hathor 1729).[1]

  1. "Bishop Tawadros new pope of Egypt's Coptic Christians". BBC News. 4 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2012.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Alitanguliwa na
Shenouda III
Papa wa Wakopti
2012–sasa
Incumbent
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.