Papa Klementi X
(Elekezwa kutoka Papa Klement X)

Papa Klementi X (13 Julai 1590 – 22 Julai 1676) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Aprili/11 Mei 1670 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Emilio Bonaventura Altieri.
Alimfuata Papa Klementi IX akafuatwa na Papa Inosenti XI.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |