Nenda kwa yaliyomo

Paoneaanga pa Griffith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paoneaanga pa Griffith ni paoneaanga pa Los Angeles, California. Kituo hiki kinapatikana kwenye mteremko unaoelekea kusini mwa mlima Hollywood huko Los Angeles katika hifadhi ya Griffith.

Ekari 3,015 (km za eneo 12.20) ya ardhi iliyozunguka uchunguzi lilipatiwa Jiji la Los Angeles na Griffith J. Griffith mnamo tarehe 16 Disemba 1896.

Griffith aliandika maelezo ya kina kuhusu kituo hicho. Katika kuandaa mipango, aliwasiliana na Walter Adams, mkurugenzi wa baadaye wa Mount Wilson Observatory na George Ellery Hale, ambaye pamoja na Andrew Carnegie) waligundua darubini ya kwanza ya anga huko Los Angeles.

Ujenzi wa kituo hiki ulianza mnamo tarehe 20 Juni 1933 katika usimamizi wa wahandisi wa ujenzi, John C. Austin na Frederick M. Ashley na kumalizika tarehe 14 Mei 1935.

Mionekano tofautitofauti ya kituo cha Griffith

[hariri | hariri chanzo]

Filamu zilizoigiziwa katika eneo la kituo cha Griffith

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.