Paolo Rossi
Mandhari
Paolo Rossi (matamshi ya Kiitalia: [ˈpaːolo ˈrossi]; 23 Septemba 1956 – 9 Desemba 2020) alikuwa mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Italia, aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji. Aliongoza timu ya taifa ya Italia kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la FIFA 1982, akifunga mabao sita yaliyomfanya kushinda Kiatu cha Dhahabu kama mfungaji bora wa mashindano hayo, pamoja na Mpira wa Dhahabu kama mchezaji bora wa mashindano.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Vicenza
- Serie B: 1976–77
Juventus
- Serie A: 1981–82, 1983–84
- Coppa Italia: 1982–83
- Kombe la Mabingwa Ulaya (European Cup): 1984–85; mshindi wa pili: 1982–83
- Kombe la Washindi wa Kombe Ulaya (European Cup Winners' Cup): 1983–84
- UEFA Super Cup: 1984 [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.gazzetta.it/Speciali/Mondiale_2006/Primo_Piano/2006/07_Luglio/07/specialemondial1982.shtml
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paolo Rossi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |