Paolo Martinelli (askofu)
Mandhari
Paolo Martinelli, OFM Cap. (alizaliwa 22 Oktoba 1958) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia ambaye amekuwa Vika wa Kitume wa Arabia Kusini tangu 2022.
Yeye ni mtawa wa Shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pope's new man on Arabian peninsula faces high-wire act on Ukraine". Angelus News (kwa American English). 10 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |