Nenda kwa yaliyomo

Paolo Marella

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paolo Marella (25 Januari 189515 Oktoba 1984) alikuwa askofu na kardinali wa Italia katika Kanisa Katoliki. Alihudumu katika Curia ya Kirumi baada ya kazi yake kama mwakilishi wa Vatikani, na aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Yohane XXIII mwaka 1959.[1]

  1. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XLI. 1949. uk. 299. Iliwekwa mnamo 2 Julai 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.