Nenda kwa yaliyomo

Paolo Galeazzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paolo Galeazzi (20 Desemba 188510 Agosti 1971) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Alikuwa askofu wa Jimbo la Grosseto kutoka mwaka 1932 hadi kifo chake mwaka 1971.[1][2]

  1. Luciana Rocchi (25 Aprili 2011). "Leggi razziali, l'ordine è già stato eseguito. Lo zelo persecutorio del capo della provincia di Grosseto, l'ambiguità del vescovo, la complicità dei dirigenti locali". Il manifesto.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "I lager italiani 1943-1945: il campo di Grosseto".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.