Nenda kwa yaliyomo

Paola Cruz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paola Roxelin Cruz Alvarado (alizaliwa tarehe 8 Agosti 1995) ni mchezaji wa futsal na soka kutoka Bolivia, anayekipiga katika nafasi ya beki wa kulia. Amewahi kuwa mwanachama wa timu ya taifa ya wanawake ya Bolivia.[1]

  1. Jordán Azurduy, Joaquín (5 Juni 2018). "Bolivia vence a Perú 4 a 0 en futsal damas". El Periódico Tarija (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-19. Iliwekwa mnamo 14 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paola Cruz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.