Nenda kwa yaliyomo

Pango hai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pango hai huko Castiglion Fiorentino, Arezzo, Italia.

Pango hai ni pango la Noeli linalofanywa kwa kutumia viumbe hai, hususan binadamu na wanyama (hasa ng'ombe na punda).

Lengo ni kukumbuka jinsi Yesu Kristo alivyozaliwa Bethlehemu hasa wakati wa Krismasi.

Desturi hiyo ilianzishwa na Fransisko wa Asizi huko Greccio (Italia) usiku wa Noeli mwaka 1223, halafu ikaenea duniani kote, hata nje ya Kanisa Katoliki.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pango hai kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.