Panevėžys

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Panevėžys

Panevėžys (Kiyiddish: פוניבעזש; Kipoland: Poniewież) ni mji nchini Lituanya. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Lituanya. Kuna wakazi 113,653 (mwaka 2008). Mji ulianzishwa 1837.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 50 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Panevėžys" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Panevėžys kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.