Nenda kwa yaliyomo

Panashe Chigumadzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Panashe Chigumadzi
Panashe Chigumadzi - TEDxSoweto 2014
Amezaliwa1991
UtaifaZimbabwe
UraiaAfrika Kusini

Panashe Chigumadzi (alizaliwa mwaka 1991) ni mwandishi wa habari,[1] mwandishi wa insha,[2] na mwandishi wa riwaya aliyezaliwa Zimbabwe na kukulia Afrika Kusini.

  1. Chigumadzi, Panashe (2018-07-29), "Panashe Chigumadzi picks the best books about Zimbabwe", The Guardian (kwa Kiingereza (Uingereza)), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2025-10-25
  2. The JRB (2018-08-06). "Novuyo Rosa Tshuma and Panashe Chigumadzi in conversation—Meditations on the traumas and triumphs of Zimbabwe's histories". The Johannesburg Review of Books (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-10-25.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Panashe Chigumadzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.