Nenda kwa yaliyomo

Pamplona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pamplona ni mji wa Hispania, mji mkuu wa Navarra.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 201,653 [1] na kuufanya wa ishirini na tisa nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pamplona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.