Pamoja Nawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Pamoja Nawe”
“Pamoja Nawe” cover
Single ya Soprano
kutoka katika albamu ya Akikusimulia
Imetolewa 12 Aprili 2008
Imerekodiwa 2008
Aina R&B - Bongo Flava
Urefu 4:06
Studio Next Level Records
Mtunzi Soprano
Mtayarishaji Maneke
Mwenendo wa single za Soprano
"Hofu"
(2006)
"Pamoja Nawe"
(2008)
"Mshumaa"
(2008)

Pamoja Nawe ni wimbo wa Soprano akimshirikisha D-Knob. Wimbo ulitolewa mnamo tarehe 12 Aprili ya mwaka wa 2008. Wimbo ulitayarishwa na kurekodiwa na studio ya Next Level Records, iliyochini ya matayarishaji Maneke. Wimbo unatoka katika albamu ya Akikusimulia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pamoja Nawe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.