Pamela Allen
Mandhari
Pamela Kay Allen (alizaliwa 3 Aprili 1934) ni mwandishi na mchoraji wa watoto kutoka Nyuzilandi. Alichapisha zaidi ya vitabu 50 vya picha tangu 1980. Mauzo ya vitabu vyake yamezidi nakala milioni tano[1].