Palmas, Tocantins
Mandhari
Palmas | |||
| |||
Majiranukta: 10°12′00″S 48°21′00″W / 10.20000°S 48.35000°W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | North | ||
Jimbo | Tocantins | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 208,165 | ||
Tovuti: www.palmas.to.gov.br/ |
Palmas ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tocantins katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 210,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 230 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kireno) Tovuti rasmi
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Palmas, Tocantins kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |