Palm, Inc.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Palm, Inc.

Palm, Inc. ni kampuni ya kompyuta ya Marekani. Inatengeneza kompyuta ndogondogo za mkononi. Kompyuta zao nyingi zinafanya kazi ya utambuzi wa mwandiko, inayoitwa kwa jina Graffiti. Hii ni sehemu ya skini ambayo inaweza kuelewa yaliyoandikwa juu yake.

Kompyuta za Palm zinaweza kuhifadhi anwani, maelezo, na vitu vingine vingi. Kipengele kingine, kinachoitwa Hotsync, kinawezesha mtumiaji kuwa na kompyuta zao za binafsi na kuungana na kila mmoja na kuboreshwa.

Mnamo Aprili 28, 2010, Hewlett-Packard alitangaza kwamba amekubali kununua Palm kwa $ bilioni 1.4.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Palm, Inc. kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.