PLO Lumumba
Patrick Loch Otieno Lumumba (alizaliwa 17 Julai 1962) ni Mkenya aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Kupambana na Rushwa ya Kenya kutoka Septemba 2010 hadi Agosti 2011 [1] na sasa ni Mkurugenzi wa Shule ya Sheria ya Kenya tangu mwaka 2014.[2]
Lumumba ni mwanasheria mwenye ujuzi wa kuzungumza hadharani, na ana shahada ya Udaktari wa Falsafa katika sheria za bahari kutoka Chuo Kikuu cha Ghen nchini Ubelgiji.
=Maandishi[hariri | hariri chanzo]
Profesa Lumumba ameandika vitabu kadhaa kuhusu sheria na siasa:
- Kenya's Quest for a Constitution: The Postponed Promise
- Call for political hygiene in Kenya
- An Outline of Criminal Procedure in Kenya
- Judicial review in Kenya
- Call for Hygiene in Kenyan Politics
- The Quotable P.L.O. Lumumba
- Judicial review of administrative actions in Kenya
- A handbook on criminal procedure in Kenya
- Stolen Moments
- The Constitution of Kenya, 2010: An Introductory Commentary
- Mhhh Afrika!!!
- Ang'o marach?
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ EACC History. www.eacc.go.ke. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-07-04. Iliwekwa mnamo 16 March 2013.
- ↑ App, Daily Nation. "Lumumba named law school boss". Retrieved on 2018-10-01. (en) Archived from the original on 2019-03-06.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Video ya hotuba ya Prof PLO Lumumba kwenye 3rd Anti Corruption Convention
- Video ya hotuba ya Prof. Lumumba nchini Nigeria
- Capital Talk PLO Lumbumba - sehemu ya 1
- Prof Lumumba akiongea kwenye 2nd ASARECA GeneralAssembly
- Umahiri wa PLO Lumumba katika YouTube
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu PLO Lumumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |