PAN Parks

PAN Parks lilikuwa shirika lisilo la kiserikali nchini Uholanzi lililojikita kwenye kulinda nyika za Ulaya. Ni taasisi iliyofilisika Mei 2014[1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Max A. E. Rossberg (2014-05-25). PanParks Foundation “in Liquidation” (en-GB). European Wilderness Society. Iliwekwa mnamo 2022-05-11.